Naomba kujua tofauti ya Wali na Ubwabwa

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,925
7,935
eti wakuu kuna tofauti yoyote kwenye hayo maneno?

karibu.

ff56f9c32f-72569116965cafb83ebaz.jpg
 
Wali huwa mkavu na unachambuka lakini ubwabwa linakua bokoboko linakua limeiva likiwa halijakauka vizuri yaani kama ugali wa mchele huo ni UBWABWAA
 
Wali ni ule ambao watu wazima huula. Umekauka vizuri na huliwa na mboga mbalimbali.

Ubwabwa ni wali kwenye maji maji, haujakauka. Mara nyingine huongezewa maziwa. Huu ni maalum sana kwa Wazee waliopoteza meno, watoto wadogo pamoja na wagonjwa.
Ubwabwa yaani Bokoboko??
 
Wali ni mchele uliopikwa kwa mafuta.

Ubwabwa ni mchele uliopikwa kwa nazi.(nimejiwazia tu kwa ujinga wangu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom