Ukiona unaitwa demu ujue fika we niwakupita .Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona lina maana nyingine
Ni nguo inayotumika wakati wa kupika huwa wanavaa sna mama ntilieUkiona unaitwa demu ujue fika we niwakupita .
Ulichoandika kinafanana na akili yakoMtaani kwetu kuna mshikaji alipewa jina la chuma cha reli kwasababu alikuwa anapitiwa na washikaji wengine
Wadau habari... Kwa dada zetu.., hv nini maana ya neno Demu, na vipi mnajisikiaje mkiitwa na wapenzi wenu demu.? Ufafanuzi please maana hili neno kwa kingereza lina maana nyingine ila kwetu naona lina maana nyingine
Ops sawa mkuuu ,,asante Kwa kurekebishanaMkuu sijaitwa mimi, nimekuta mahali dada zetu wanakataa kuitwa hv![]()
Hao wadada wanaokataa nao.pia huwaita mademu wenzao. So inabidi tuwashangae nao piaMkuu sijaitwa mimi, nimekuta mahali dada zetu wanakataa kuitwa hv![]()