Wadhibiti ubora au wathibiti ubora?

the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
1,318
1,763
Maneno haya mawili yamekua yakitumika kwa kuingiliana. Mfano wathibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa nk. Wengine wanatumia wadhibiti ubora wa elimu, wadhibiti ubora wa bidhaa. Je kipi ni sahihi
 
Wale wa elimu ni wathibiti ubora wa shule ( school quality assures)
 
Back
Top Bottom