Dude
Ni ni Dudu
Nadhani ulishamsikia mtu anaitwa Dudubaya.
Anaweza akaitwa pia Dudebaya.
Dudu au Dude ni mdudu akiwa mkubwa.
Inaanza, Kamdudu(e) Mdudu(e) Dudu(e). Lidudu(e) , Gududu(e).
Kwa kiswahili
Wazungu wanapenda kutamka Dude kama wanavyopenda jina la Mama wakaita Mom
Kwenye picha zao za video utasikia wanaitana, Yah..Dude..!
Wanatamka dyud
Kwao Dude ni rafiki wa ukweli mwenye nguvu na msaada wa ihakika. nineno la mtaani.
Yes..Dude..!
Ni maoni yangu tu.