warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,465
Huu ni msemo unaokuja kwa kasi apa mjini au naweza kusema ndo habari ya mujini kwa sasa, Founder wa jina hilo ni mwanadada riyama ally(muigizaji) na maana halisi ya neno hilo ni rafiki/ shoga/best wa kike tu, hili jina ni maalumu kwa mademu tu, ndo msimu ulioibuka kwa sasa, so girls catch it up Heaven on Earth Dinazarde
Last edited by a moderator: