Maduka mengi ya vifaa vya shule yameandika stationary badala ya stationery, badilisheni

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Ukizunguka Dar na mikoani utaona maduka mengi ya vifaa vya shule na maofisini vimeandikwa Stationary badala ya Stationery.

Haya ni maneno tofauti kabisa. Rekebisheni hizo lugha.
 
Back
Top Bottom