Nisaidieni maana ya hili neno "survival of the fittest"

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,052
29,750
Ni muda sasa huu msemo unanichanganya pia nashindwa kuelewa maana halisi ya msemo huu.

nawaomba nyie wajuzi wa hii lugha mnieleweshe vizuri
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hiyo inatoka kwa jamaa anaitwa charles darwin na principle zake za evolution ambazo zilikuwa.
1.survival 4 the fittest
2.use and disuse

Hii "survival 4 the fittest" alimaanisha kuwa viumbe dhaifu na shupavu vikiishi katika ekolojia moja basi automaticaly nature itawaondoa wale dhaifu na shupavu kubaki.

The same applies 2 human beings aspects.Kama huko very soft and less agresive kwa dunia ya sasa basi kupotea economicaly,socialy and politicaly.Hence The fittest shall survive.

Kudos
 
Umepatia kwenye maana yenyewe ya survival of the fittest. But sio "survival for the fittest" bali ni "survival of the fittest"

Pia ukakosea kwa kusema kuwa Charles
Darwin ali-hypothise the law of use and disuse..! Hiyo ilikuwa ni ya Lamarck ambayo kitheory tunaita LARMACKISM!

All in all umejitahidi kuclarify mambo!

Ubavu
 
Kitambo Sana Haya Mambo. Shukran Kwa Marekebisho
 
ni kama wemye nguvu ndo wataosalia...kama huyo kaka alivoeleza kinadharia hapo juu..hebu wewe mwenyewe fikiria mbuga imekumbwa ma ukame,hakuna maji hakuna nyasi...pundamilia,swala na wengineo si watakufa sababu ya njaa since wao sio carnivores(walao nyama)
lakini licha ya kukosekana nyasi ardini..kunaweza kukawa na miti ilio na majani lakini swala na pundamilia hawawez panda mtini wakale..sasa wao watakufa na ataesavaivu ni twiga sababu anafikia yale majani juu ya mti..swala na pundamilia walikua fit..but twiga yuko fitter
upande wa pili tuangalie walao nyama..simba,fisi na chui wako fit na hawatakufa njaa mapema coz watakula wale pundamilia na swala hadi mizoga itayokufa..but sababu ya kufa kwao hakutakuwa na uzaliano hivo wstapungua..at the end simba,fisi na chui watamla hadi yule twiga alosavaivu..na twiga kule mtini ujue majani yaliisha pia akafa.
haya watabaki simba chi na fisi.
unadhani chui anaweza kumla simba?
fisi anaweza kumla simba au chui..
simbe is the fittest..atawala wote na atasalia yeye!
sada hebu jaribu kuapply huu msemo upate picha kwenye maisha ya binadamu..
 
m
Mkuu inaonekana wewe hukusoma secondary. Ngoja walimlu wa biology ya O level waje wakufundishe.
mkuu usidharau mtu usiyemjua,kama hujui kitu ni bora utulie tu
siku nyingine jifunze ustaarabu kwa watu walioelimika
 
a
ni kama wemye nguvu ndo wataosalia...kama huyo kaka alivoeleza kinadharia hapo juu..hebu wewe mwenyewe fikiria mbuga imekumbwa ma ukame,hakuna maji hakuna nyasi...pundamilia,swala na wengineo si watakufa sababu ya njaa since wao sio carnivores(walao nyama)
lakini licha ya kukosekana nyasi ardini..kunaweza kukawa na miti ilio na majani lakini swala na pundamilia hawawez panda mtini wakale..sasa wao watakufa na ataesavaivu ni twiga sababu anafikia yale majani juu ya mti..swala na pundamilia walikua fit..but twiga yuko fitter
upande wa pili tuangalie walao nyama..simba,fisi na chui wako fit na hawatakufa njaa mapema coz watakula wale pundamilia na swala hadi mizoga itayokufa..but sababu ya kufa kwao hakutakuwa na uzaliano hivo wstapungua..at the end simba,fisi na chui watamla hadi yule twiga alosavaivu..na twiga kule mtini ujue majani yaliisha pia akafa.
haya watabaki simba chi na fisi.
unadhani chui anaweza kumla simba?
fisi anaweza kumla simba au chui..
simbe is the fittest..atawala wote na atasalia yeye!
sada hebu jaribu kuapply huu msemo upate picha kwenye maisha ya binadamu..
isee mungu akubariki sana

asante sana
 
Hiyo inatoka kwa jamaa anaitwa charles darwin na principle zake za evolution ambazo zilikuwa.
1.survival 4 the fittest
2.use and disuse

Hii "survival 4 the fittest" alimaanisha kuwa viumbe dhaifu na shupavu vikiishi katika ekolojia moja basi automaticaly nature itawaondoa wale dhaifu na shupavu kubaki.

The same applies 2 human beings aspects.Kama huko very soft and less agresive kwa dunia ya sasa basi kupotea economicaly,socialy and politicaly.Hence The fittest shall survive.

Kudos
asante mkuu nashukuru sana
 
The Stronger in the modern world are they who are willing to learn,re-learn and un-learn.

Those are not willing to do so will end up eliminating themselfs in the pursuit of survival.
 
Mkuu kwa ninavyojua na kufikiria ...survival for the fittest japo linatumika sana kwenye mambo ya evolution na theory zake ila hata kwenye maisha ya kila siku hii kitu inatumika inshort iko usefull ...ila huwezi uka survive pasipo kustruggle hence hizi concept zinaendana ...stuggle for existance the ushastruggle utaishii kwa kufiti katika eneo husika kwa kuwa unaweza kukabiliana na hali ya eneo hilo husika ..
 
Hii "survival 4 the fittest" alimaanisha kuwa viumbe dhaifu na shupavu vikiishi katika ekolojia moja basi automaticaly nature itawaondoa wale dhaifu na shupavu kubaki.
The same applies 2 human beings aspects.Kama huko very soft and less agresive kwa dunia ya sasa basi kupotea economicaly,socialy and politicaly.Hence The fittest shall survive.
Kudos
You can use the survival of the fittest to refer to a situation in which only the strongest people or things continue to live or be successful, while the others die or fail.
Nyote wawili hamjaelewa maana ya usemi huu. Maanake si "wenye nguvu wataishi" lakini "wanaolingana na mazingira wataishi".

Kama upepo ni mkali, mti mkubwa na imara utaanguka. Mti mdogo mwenye uwezo wa kupinda utabaki na kuendelea.

Katika pigo la asteroidi miaka milioni 66 iliyopita (lililounda kasoko kubwa huko Meksiko ) walikuwa wanyama wenye nguvu kama dinosauri walioangamizwa lakini wadogo kama panya walioendelea kuwa wazee wetu sisi mamalia waliishi.

Mzee Darwin hakummaanisha mtu mkali anayepoteza muda wake kwenye bodybuilding!

(labda hapo pia siri ya neno la Yesu "Uweza wangu hutimilika katika udhaifu" 2Kor12,9)
 
Tunatofautiana uelewa mkui..kama wewe umeelewa hivyo..sawa sikupingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom