Naulizia mwenye kamusi ya kiswahili kwa kiswahili softcopy

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
759
1,245
Kichwa cha habari chajielza

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
photo (pref) 1 -a mwanga. ~-cell n adj betri ya mwanga. ~-synthesis n usanidinuru. 2 foto. ~genic adj -enye kutoa mwanga; -enye kutoka vizuri katika mwanga. ~finish n mwisho wa karibu mno, ushindi wa kuamuliwa na picha. ~ copy n fotokopi: mashini ya kunakili kwa picha. vt nakili kwa mwanga. ~electric n (phys) -a umeme-mwanga, inayopata umeme kutokana na mwanga. ~print n (print) chapa, foto, picha. ~telegraphy n simu picha.
 
N nakala ambazo znaonekana kwa macho ...lkn huez kuzishika

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
photo (pref) 1 -a mwanga. ~-cell n adj betri ya mwanga. ~-synthesis n usanidinuru. 2 foto. ~genic adj -enye kutoa mwanga; -enye kutoka vizuri katika mwanga. ~finish n mwisho wa karibu mno, ushindi wa kuamuliwa na picha. ~ copy n fotokopi: mashini ya kunakili kwa picha. vt nakili kwa mwanga. ~electric n (phys) -a umeme-mwanga, inayopata umeme kutokana na mwanga. ~print n (print) chapa, foto, picha. ~telegraphy n simu picha.
Katoa mfano vzr sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom