HOVYO HOVYO
Member
- Jul 6, 2017
- 34
- 27
Naomba kufahamishwa jina la mhudumu wa hospitali wa kiume kwa jina la taaluma yake, kama wa kike ni nurse je wa kiume ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app