BANDIDU ni mtu wa namna gani?!?

BANDIDU ni mtu wa namna gani?!?

maana halisi ya mtu bandidu ni yule mwenye UBANDIDU
 
Bandidu ni yeyote kama huyo wa kwenye avatar yako.......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
bandidu ni kubwa la maadui la ki hindi.. lina sura ya chocklate
 
bandidu ni mtu kama Cephalocaudo

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom