Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 828
nlikua nafanya application nkakuta na hii sentesi
"Seeks accommodation"
na inatakiwa kuchagua
1.Yes if available
2.No
Sasa mimi ninataka kuomba chuo hicho na nipatiwe na malazi chuoni je nichague 1 au 2 ili nipate malazi ya chuo
Samahani kwa wale nliowakwaza kwa kutokujua maana ya hio lugha ikiwa nataka omba chuo
Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtao nielewesha