SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,797
Wajameni naomba kujuzwa hivi maana halisi ya neno RAMLI CHONGANISHI ni nini? Maana hivi karibuni umekuwa msemo maarufu kwenye vyombo vya habari hususani kwenye kanda ya ziwa. Waganga wanaambiwa wanapiga RAMLI CHONGANISHI!!!!