Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
Kule China hii leo ndege yao ya kwanza ya abiria imefanyiwa majaribio ikiwa na abiria 70 je unadhani uthubutu wa China katika sekta ya anga itatingisha makampuni makubwa kama Boeing na Airbus pamoja na bombardier kutoka ulaya na marekani au Africa tu ndio watanunua ndege hizo maana ni cheap na jee itaweza kuyashawishi mashirika makubwa ya ndege kutoka ulaya na marekani lakini pia Asia, Mimi sijui tulijadili hili wadau.