mmbangifingi JF-Expert Member Mar 9, 2011 2,839 565 May 15, 2016 #1 Ni nani hasa alimuua Rais wa Msumbiji wakati huo Samora Machel? Renamo? Serikali ya Makaburu? Kwanini ilikuwa lazima wamuue?
Ni nani hasa alimuua Rais wa Msumbiji wakati huo Samora Machel? Renamo? Serikali ya Makaburu? Kwanini ilikuwa lazima wamuue?
Inferior Complex JF-Expert Member Oct 17, 2014 3,655 5,019 Jul 15, 2016 #2 Mungu ndiye alimuua baada ya kumdhihaki mbele za watu! Rejea kwenye uzi hapo chini!
ora JF-Expert Member May 21, 2016 1,198 1,122 Jul 16, 2016 #3 ngoja mama anisimulie nitarudi maana kipindi hicho walikua mtwara