Siku kama ya leo tarehe 16 Julai 1976 ni siku ambayo sherehe ya kukabizi shirika la Reli la Tazara kwa nchi za Tanzania na Zambia. Wana JF je kulingana na changamoto ambalo shirika hilo linapitia tumewatendea haki Wachina walilolijenga?
Kudhoofika kwa Tazara hii miaka 40 inaonyesha vipi bado tuko nyuma ku manage miundo mbinu muhimu.
Hapa kuna reli kutokea bandari kuu na inapeleka abiria mizigo kwan nchi isiyo na bandari licha ya kuhudumu ndani ya nchi hizo mbili na bado reli inapigania kukata roho !! ni maajabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.