Fukuto la Mabadiliko CDM

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Wafuasi wa chadema sasa wanataka mabadiliko ndani ya chama chao. Fukuto la chini kwa chini zinadai kuwa wanazi wa chadema wasiyotoka mikoa ya kaskazini wamechoshwa na udikteta wa freeman mbowe ndani ya chama icho. Kampeni kali ya chini kwa chini ya kumng'oa mbowe yaanza mikoa ya kanda ya magharibi na mikoa ya kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom