Habari Wakuu,
Nakalibia kumaliza usajili wa kusomea ACCA ile ya worldwide ambayo makao makuu yake yako London, Ila kwa hapa nchini wana branch yao pale posta.
Swali langu kwenu Je, kuna yeyote...
Namba ya ajabu ni π au Pi yenye thamani ya takriban 3.14. Inasheherekewa na wanahisabati na marafiki wa namba kwenye tarehe inayofanana na namba hii yaani Machi 14.
Pi inafafanuliwa kama uhusiano...
Wakuu nataka nikasome law ngazi ya cheti IJA. Nmeangalia kwenye website yao Hakuna taarifa zinazodirect namna ya kufanya application.
Kwa anayefaham naomba anisaidie utaratibu ukoje na Kama...
Kama akitokea professor akajenga hoja juu ya kuamzisha mtaala wa michezo hasa mpira wa miguu,na ikafanikiwa kuanzishwa,hapo ndipo unaweza kupima ujinga wa hali ya juu uliopo katika elimu ya...
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi...
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.
Ngwe iliyopita nilikua na semester...
Wakuu,
Mtoto wangu kamaliza form four mwaka jana katika shule moja ya binafsi mkoani Mbeya na matokeo yametoka mwaka huu. Kafaulu vizuri tu. Alichukua form kwa ajili ya kufanya entry examination...
Wasaalaaaaam,
Bwiru ni shule ya mchepuo wa ufundi, ipo wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanzaa.
Ni baadhi ya mashairi yalipo kwenye wimbo wa Shule yetu pendwa, Nilifanikiwa pita Bwiru kwa miaka minne...
Habari wana jamiiforums juzi nimesikia kuna kijana aliyeuawa Africa Kusini akiwa masomoni namtambua kwa jina la nyumbani Baraka Sungura kwa anaejua huyu jamaa alipatwa na nini hadi kupelekea mauti...
Ndg jf naombeni msaada nahitaji chuo kuzuri cha kusoma community health mwaka Jana nlituma maombi vyuo vya serikali sikubahatika kuchaguliwa sasa nimeamua kutafta hata vya private
Wakuu kwema
Hili suala naomba liwafikie wenye mamlaka ,sisi watumishi wa umma tumekubali kuwa serikali haina pesa na haiwezi kutulipa pesa nyingi , tumeumia ,tumevumilia na sasa tumezoea ila...
Serikali imezuia WANAFUNZI kurudia darasa.Zamani ilikuwa iwapo mwanafunzi ameshindwa kuelewa masomo fulani kama vile Hesabu au Kiingereza mzazi/ WALIMU waliweza kumrudisha darasa mwanafunzi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.