Faharu Faraj
Member
- Jan 12, 2018
- 16
- 1
Three ya 23 na ukibalance comb una wez kwenda form five kwa gvt??
We jidanganye tuuuee unaenda kabixa
Ccc ...unaenda hata kama ni 25
Kwani C na D IPI kubwa?Unatakiwa uwe umepata C tano na kati ya hizotwe tano kwenye combinatiuwe na at least C flat yaani CCCunapatunapata post ya kwenda government school, mfano ikatokea umepata CCD au ACD au AAD hauwezi soma iyo combination hata kama umepata division one ya saba, vigezo na masharti kuzingatiwa. Labda uende kwenye shule za kulipia na hautokuwa fresh from school, itakuwa private candidate(PC)
ACHA KUPOTOSHAUnatakiwa uwe umepata C tano na kati ya hizotwe tano kwenye combinatiuwe na at least C flat yaani CCCunapatunapata post ya kwenda government school, mfano ikatokea umepata CCD au ACD au AAD hauwezi soma iyo combination hata kama umepata division one ya saba, vigezo na masharti kuzingatiwa. Labda uende kwenye shule za kulipia na hautokuwa fresh from school, itakuwa private candidate(PC)
Tangu mwaka juziCcc ...unaenda hata kama ni 25
Its depend na ufaulu also na jinsia yakoThree ya 23 na ukibalance comb una wez kwenda form five kwa gvt??
Ndio unaenda ila Mara nying inategemea na walio faulu n wanao taka shule za gvt kama ni wengi na wana vigezo kukuzdi bas nafas zinazdi kua finyuThree ya 23 na ukibalance comb una wez kwenda form five kwa gvt??
Mm naona ka Ni D kwan ww unaonaje?Kwani C na D IPI kubwa?
Unatakiwa uwe umepata C tano na kati ya hizotwe tano kwenye combinatiuwe na at least C flat yaani CCCunapatunapata post ya kwenda government school, mfano ikatokea umepata CCD au ACD au AAD hauwezi soma iyo combination hata kama umepata division one ya saba, vigezo na masharti kuzingatiwa. Labda uende kwenye shule za kulipia na hautokuwa fresh from school, itakuwa private candidate(PC)
Veep kama ukiwa 25 na una C 4 pia umebalance comb uwezekan wa kuchaguliw unaweza kuwep ??Ndio unaenda ila Mara nying inategemea na walio faulu n wanao taka shule za gvt kama ni wengi na wana vigezo kukuzdi bas nafas zinazdi kua finyu
Ndyoo unapata kwang mm naona utapata maana shule ni nying sana za advance sa hiv .japo mazngra ya shule nying utazan ni kambi ya makomandooo kuanzia Maji mpak walimu na mabwen ni shida sanaVeep kama ukiwa 25 na una C 4 pia umebalance comb uwezekan wa kuchaguliw unaweza kuwep ??
Hahahahahahahahahahahhahahhaahaaaa.Ndyoo unapata kwang mm naona utapata maana shule ni nying sana za advance sa hiv .japo mazngra ya shule nying utazan ni kambi ya makomandooo kuanzia Maji mpak walimu na mabwen ni shida sana
Umeandika kwa makusudi au bahati mbaya?Kwani C na D IPI kubwa?