ABDULLAH MSANGI
Member
- Feb 28, 2014
- 55
- 22
kwa mwenye taarifa ni chuo gan kinatoa koz ya postgraduate in mathematics Uganda au Tanzania
wambie yupo fundi wa hesabu afrika mashariki na kati na dunia wakuitwa dr wenzi anakunywa mataptap chidya..Bagamoyo kuna chuo cha wanahisabati tu na cha kimataifa kwamaana ya kwamba kuna wanafunzi ambao ni maths talented from sehem tofaut africa
dah ahsante kumbe kipo mahome boy kabisa thxTumaini university, kishiriki cha Stefano Moshi ipo.