JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
Sekondary ya sangu ipo mbeya mjini, nje kidogo ya mji, wanafunzi wa kike wanavaa brauzi kwa chini ina malinda na suruali, ukiwaona watoto hawa hata asiye na shepu anavutia kwa sababu ya mavazi, kila mtoto wa kike anaonekana kuwa na mkia, kajazia neema za alah! Mavazi haya hayafai kwa wanafunzi na nayalaani hadharani, mwanafunzi wa kike avae sketi kama mfuko wa mashine ili asiingie kwenye mtego wa kuleta matamanio kwa wanaume walafi na mbweha kwa wanawake.