Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba ushauri wenu wadau was JF kwa aliyesoma combination ya PCM anipe maelelezo machache kabla sijaenda kuanza masomo yangu July 2018 Mwenyezi Mungu awabariki Ahsante
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wana jf, natafuta shule ambayo mtu anaweza kusoma pre form five, simaanishi tution centres hapana nataka shule kabisa ambayo inachukua wanafunzi wa pre form five hatakama hawatosoma hapo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wadau wote.kama kawaida huwa sifumbii macho pale ninapokuwa ninaona kuna vitu vinaenda ndivyo sivyo hususani katika elimu....... Miaka michache iliyopita serikali ili zindua sera mpya ya...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Nina rafiki yangu alirisit mwaka jana matokeo yake akapata Chemistry B Biology B Geography C Mathematics F Lakini kwenye cheti cha kwanza alikuwa na credit za arts pekee Ila yeye alikuwa anataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, jirani yangu alipata div 4 form6. Hiv sasa anataka kurudi kusoma ila anataka kuanza degree na sio diploma, alipata alama hizi Gs S Geog S Chem F Bios E Bam F, je anaweza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtu nilikuwa nawasiliana nae kama nusu saa hivi imepita, lakini cha ajabu muda huu nampigia naambiwa namba yake imefungiwa. Naomba kuelimishwa sababu hasa za namba ya simu kufungiwa.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
naomben msaada n chuo kip n kizur kufanyia field mwanza kwa bachelor of edu in psychology
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani, kwa matatizo kama haya huku ndio kimbilio langu. Kamusi ninayo hitaji napenda iwe ta TUKI. Ikikosekana hio, basi yoyote. Nina muda mrefu naitafuta ila siipati. Niliulizia HARDCOPY...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Hello guys Naamini mwanafunzi yoyote anaepata division 1, o-level ya necta ana uwezo mzuri kiakili, sasa nashangaa wengiiiiii tena waliopata division 1 ya point 8 au divison 1 point 9 kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani mimi ndo naenda kuanza maisha advance sasa nasikiaga eti hivi vitabu ni hataree kama kuna mtu anacho aniuzie.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Samahan wana jukwaa la elimu..nimepitia website ya pharmacy council of Tanzania nikakuta list ya approved instution to offer pharmaceutical programs ni chache sana ukilinganisha na idadi ya...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Salamu zenu ndugu zangu Natumaini ni wazima kwa uwezo wa Mungu Ninachoitaji kutoka kwenu ni ushuri pia na Msaada mkubwa toka kwenu ninachoomba kutoka kwenu ni Kwanza kabisa mm nachukua mchepuo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama Uzi unavyojieleza naomba kwa mwenye kupata mitihani ya BAM iliyokwisha fanyika shule nyingine anisaidie
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nini maana ya step function
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina swali la Physics hapa katika Mada ya Density Qn:A cup made of an alloy of gold and silver has 60cm³ and mass of 1050g.Find mass of gold in the cup.? Density of gold =19.3g/cm³ Density of...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Wapendwa wanajf naomben ushauri wenu ili niwahi kuzijua na kuzicover mapema topics zenye maswali common Kwenye Physics na Bios advance kwan naamin humu wapo watu mbalmbal wanaoweza kunisaidia
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau....naomba mnisaidie kwa wale wanaofahamu eneo ilipo hiyo shule ya Kasulu sekondari.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama nikweli Tufanye nini kiwango cha elimu kiongezeke.
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Back
Top Bottom