Naombeni msaada nahitaji chuo kizuri cha kusoma

Goodhope078

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
72
Reaction score
23
Ndg jf naombeni msaada nahitaji chuo kuzuri cha kusoma community health mwaka Jana nlituma maombi vyuo vya serikali sikubahatika kuchaguliwa sasa nimeamua kutafta hata vya private
 
Samahani kwani dirisha kwa kozi za Afya limefunguliwa tayari? Vipi vigezo unavyo? Sababu nilienda Bugando wao wanataka Wenye background ya masomo ya science.
Japo wao wanatoa diploma tu.
 
Vgezo nkama nnavyo
 
bila kutaja matokeo yako au level ya elimu watu watakudaidiaje? na unahitaji diploma au degree?
 
Samahani kwani dirisha kwa kozi za Afya limefunguliwa tayari? Vipi vigezo unavyo? Sababu nilienda Bugando wao wanataka Wenye background ya masomo ya science.
Japo wao wanatoa diploma tu.
kwa upande health allied science hawajafungua ndg
 
Back
Top Bottom