Naomba sababu za kitaalamu tafadhar
OK mkuu BT sijaelewa majengo marefu yanasaidiaje....ni mikoa michache sana ina majengo marefuMajengo marefu yaliyopo mjini yana thunderstorm arrester hivyo husaidia ku-nuetralize effect ya thunderstorm wakati vijiji hakuna hizo thunderstorm arrester ndio maana unaona matukio mengi ya radi yapo vijijini.
njoo PM nikutest halafu uje hapa jukwaani utoe ushuhudaKivp
njoo PM nikutest halafu uje hapa jukwaani utoe ushuhuda
hahahhah katibu umetishaaaahahhaah kwa heshima kabisa mimi kama katibu nakukaribisha kwenye kamati yetu ya roho mbaya mkuu
OK mkuu BT sijaelewa majengo marefu yanasaidiaje....ni mikoa michache sana ina majengo marefu
Radi, mada iliyotikisa miaka mingi sana kichwani mwangu, nilikuwa mdadisi sana enzi zile sijui nikushirikishe? Maana ni mambo ya kuogofya, kifupi nilikuwa mkazi wa nyanda za juu kusini
Wataka jua radi ile inafahamika kwenye physics au ile ina miguu 6 inayopigana na kondoo?Naomba sababu za kitaalamu tafadhar