Nini unakumbuka kuhusiana na St.Matthew's secondary school?

Nini unakumbuka kuhusiana na St.Matthew's secondary school?

Na pia nakumbuka kuruka ukuta kwenda kununua dagaaa mchele teh teh
 
Afu kulikuwa n watoto wakali aseh duh
 
Nakumbuka ukikutwa hata waongea na mwanaume tu..unasimamishwa kwa muda
 
Nyie ndio mlikuwa mnapewa uroda na wamama wa mitaa ya nyuma Huku
Hahahaaaa,,,,kuna mmama alikuwa aniniletea nyagi sana Sikh hiyo nilimtomba balaaa ila sitasahau suspension kisa asubuhi nilikuwa nanuka pombe hahahaaaa
 
Nakumbuka ukikutwa hata waongea na mwanaume tu..unasimamishwa kwa muda
Ilikuwa ni mita Moja hakuna ongea mkiwa mmesogeleana, lakini Sasa Yale madawati yangelikuwa yanazungumza yangezungumza mambo makubwa sana mana ndo yalikuwa vitanda vyetu
 
Prepo tulikuwa tunatenganishwa boys juu girls chini hakuna kuwasiliana Ila tulikuwa tunawasiliana Na vikaratasi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom