Naomba kujua mamna ya kuapply CTL katika Institute of Judicial Administration- Lushoto

boazies

Member
Sep 23, 2015
6
1
Wakuu nataka nikasome law ngazi ya cheti IJA. Nmeangalia kwenye website yao Hakuna taarifa zinazodirect namna ya kufanya application.

Kwa anayefaham naomba anisaidie utaratibu ukoje na Kama wanayo intake ya mwezi March.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom