Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani naombeni msaada kuhusu vyuo vya binafsi vya ualimu vinavyotoa stashahada ya ualimu sekondari-elimu ya michezo, kwa yeyote anaefahamu baadhi ya vyuo hivyo nijuzeniiiiiiiiiii
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari! Nauliza tuu jamani je, inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualim? Mfano utendaji wa kijiji, kata au hata ustawi wa jamii? Na vipi anaweza kuomba ajira kama hizo na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza. Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu! Kuna waalimu kadhaa wamesi mamishwa kazi kutokana na TUHUMA za/ya;- 1.KUTEMBEA NA WANAFUNZI (NGONO), 2.KUWAPA WANAFUNZI SIMU ILI KUONGEA NA WAKWAO, 3.UTORO KAZINI (KUCHELEWA...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Waalimu wa shule za sekondari na msingi 45 wameajiriwa
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Jamani kuna Watu Mashuleni na Vyuo Vikuu wanajua kupiga chabo ( Kuibia ) hadi unakuta muda mwingine Mtu unafanya Mtihani na unabakia tu ' Kucheka '. Unakuta Mtu ana Jicho Kubwa tu lakini pale...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
TANGAZO TANGAZO Uongozi wa serikali ya wanafunzi COBESO unapenda kuwaarifu uma wa wana CBE kuwa LEO tarehe 16/03/2018 siku ya Ijumaa tutakuwa na ugeni mkubwa sana hapa chuoni kwetu wa watu hawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam kwenu! kozi tajwa hapo juu inafundishwa kwa mda gani? Ada yake ni sh ngapi? Asanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhar wana Jf naombeni msaada nahitaji kufahamu uwezo wa shule ya Sangu katika kutoa taaluma bora. Nina mdogo wangu ambaye anatalajia kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwakani. Nilimuuliza...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
wana jf, nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa. Ndugu zangu naomba mnisaidie mishahara ya walimu ngazi ya cheti, stashahada, na shahada!!! Hii ni kwa wale walio serious jamani. Nawasilisha.
0 Reactions
26 Replies
27K Views
Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inakuwaje wadau wenu wanapohitaji huduma mbalimbali mnazotoa ikiwa ni pamoja na kupata Statement of Result, uhakiki wa vyeti, uthibitisho wa uhakiki na taarifa, mblimbali zinazohusiana na huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kati ya shule hizi ipi ni bora katika ufundishaji na kwa nini? Kwa wale waliozisoma naomba msaada 1.Mzumbe 2.Kibaha...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
mashindano haya huwa mazuri sana hasa pale mnapofanya vizuri katika michezo, nakumbuka nimewahi kufika mkoani kwa uchoraji enzi zile,sema siku hizi wamebaki watoto wadogo wadogo,hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani tumezaliwa tunazungumza Kiswahili lugha ya kwanza (wengine wetu). Kila siku tunazungumza Kiswahili. Tunazungumza sana Kiswahili mpaka tunajulikana pande ile kuwa sisi ni ile mitu iko na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu nisaidieni hili kuna dogo ana 4 ya 26 kwa gvnmnt anaweza kupata kozi zipi na katika vyuo gani,, kwa private gharama kubwa hataweza
1 Reactions
4 Replies
3K Views
I humbly request for the recently marked form 6 Dar language 1&2 Mock exams Marking Scheme. Please help me urgently!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom