Msaada jinsi ya kujua original scientific calculator

Msaada jinsi ya kujua original scientific calculator

Wee angalia kama ina jumlisha na kutoa zidisha baaasi ni OG
 
bonyeza power on +shift+7 ikileta neno cas10 ni original ila ikileta maneno kwa juu ni feki
 
Back
Top Bottom