Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,212
Wasaalaaaaam,
Bwiru ni shule ya mchepuo wa ufundi, ipo wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanzaa.
Ni baadhi ya mashairi yalipo kwenye wimbo wa Shule yetu pendwa, Nilifanikiwa pita Bwiru kwa miaka minne hivi na ninajivunia kusoma pale, Miongoni mwa waasisi wa kung'oa head Master kisiki Mr Kisuu na Mchiz Mox.
Kipi unakimisi Bwiru ndugu yangu? Mwaka 2020 Inatimiza miaka 100 toka ianzishwe nini maoni yako?