Naomba kujua kama chuo cha uhasibu TIA kama kina foundation course ambyo hutolewa kwa ajili ya kumpa sifa mwanfunzi ambae hakuwa na sifa za kusoma ngazi ya cheti,kwa maana ya kuwa na pass nne...
Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
Wanafunzi wa The Law School of Tanzania wanatakiwa kuingia katika chumba cha mtihani na kitabu kilichotungwa na walimu wao.
Kitabu hiki kinauzwa shilingi 45 elfu.Kwa hali ya uchumi ilivyo hivi...
Nina dogo wangu kamaliza mwaka jana ana 4 ya 30 ana bios C-chemisty D geog D pamoja na kiswahili ana D. Je anaweza kupata chuo cha serikali ..anataka kusoma pharmacy
Usihangaike..!!!!!
Kama unahitaji kufaulu
Masomo ya jioni
katika CERTIFICATE na DIPLOMA katika NURSERY TEACHING, EARLY CHILDHOOD EDUCATION na PRIMARY EDUCATION.
Waalimu ni professional katika...
Salamu wapendwa wana jf
Naomba kuweka wazi kabisa katika hili sipo kwa maslai ya ccm chama tawala au ukawa/chadema kwa wapinzani naomba nisimame kama mtanzania
Siku chache baada ya Mh. Rais wa...
Naombeni msaada kwa anayejua qualification za kupangiwa shule za vipaji coz nina one ya 14 na ukichek hapa mtaani kuna jamaa alipata one ya 17 na akapangiwa Tabora boys
Habari wana JF .
Naombeni mawazo yenu . Nimeplan kutengeneza system ambayo itasaidia kupunguza matatizo wanayokumbana nayo wagonjwa mahispital. Mfano kusubir huduma bila mafanikio na kushindwa...
Mdogo wangu amechaguliwa form V shule moja mkoani Kagera ila anapenda kuhamia Bwiru Boys comb ya PCB.Kuna mtu anaweza akanipa msaada wa mawazo ili niweze kupata nafasi ya kumuhamisha Bwiru Boys?
Wizara ya elimu inachezewa sana na shule za serikali !! Kuna maswali mengi yaliyosa majibu, ni kwanini masomo ya sayansi hapa namaanisha PHYSICS, CHEMISTRY, MATHEMATICS na BIOLOGY wanafunzi...
Pindi na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu. Sasa na miaka 70 nini, je Dada yangu atakua na miaka mingapi?
[emoji56]
Nasubiri kuona wavivu wa kufikiri
Habari.??
Naomba tusaidiane kuelimishana katika hili.
Tunajua kuna madini mbali mbali na yanapishana matumizi na gharama zake...
Tukiachana na matumizi ya silaha yatokanayo na baadhi ya madini...
Habari ndugu zangu wana jukwaa hili la kielimu. Naomba kujua(kutolewa tongo tongo) juu ya usomaji kupitia njia ya mtandao. Nimekuwa na shauku kubwa sana ya kusoma kwa njia hiyo lakini naogopa...
Wanajamvi nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara juu ya jambo hili na kushindwa kupata jibu jadidi. Hivi ni kwanini wanawake wembamba wanakuwa na uke mpana kiasi kwamba ukimwingilia unakuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.