Amesimamishwa kazi ya ualimu kwa makosa haya; je, sheria na kanuni za utumishi kwa waalimu zinasemaje?

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,603
1,835
Wakuu heshima kwenu!

Kuna waalimu kadhaa wamesi mamishwa kazi kutokana na TUHUMA za/ya;-

1.KUTEMBEA NA WANAFUNZI (NGONO),
2.KUWAPA WANAFUNZI SIMU ILI KUONGEA NA WAKWAO,
3.UTORO KAZINI (KUCHELEWA KURIPOTI SIKU.5 BAADA YA SHULE KUFUNGULIWA),
4.KUTOKA KWENDA KWENYE SHUGHULI NYINGINE ZA UZALISHAJI MALI, BAADA YA VIPINDI VYAKO KUISHA NDANI YA SAA 7:30 HADI SAA 8:30 MCHANA.

Wadau wa elimu na wakongwe kazini, Mimi ndio nimeajiliwa sina hata miezi 6 kazini, lakini nakutana na sekeseke kama hilo limewakumba waalimu wenzangu zaidi ya watano SHULE fulani ya serikali na mkoa fulani hivi......!

WANASEMA ETI ZAMA ZIMEBADILIKA.....
Je!, SHERAIA na kanuni za utumishi kwa waalimu pamoja STANDING ORDER zinaseamje?

Msaada tafadhali.....
 
Wapambane na business kama wana kamtaji. Kwani salary ya ualimu ni sh ngapi hadi uogopwe as if unalipwa million?
 
Wakuu heshima kwenu!

Kuna waalimu kadhaa wamesi mamishwa kazi kutokana na TUHUMA za/ya;-

1.KUTEMBEA NA WANAFUNZI (NGONO),
2.KUWAPA WANAFUNZI SIMU ILI KUONGEA NA WAKWAO,
3.UTORO KAZINI (KUCHELEWA KURIPOTI SIKU.5 BAADA YA SHULE KUFUNGULIWA),
4.KUTOKA KWENDA KWENYE SHUGHULI NYINGINE ZA UZALISHAJI MALI, BAADA YA VIPINDI VYAKO KUISHA NDANI YA SAA 7:30 HADI SAA 8:30 MCHANA.

Wadau wa elimu na wakongwe kazini, Mimi ndio nimeajiliwa sina hata miezi 6 kazini, lakini nakutana na sekeseke kama hilo limewakumba waalimu wenzangu zaidi ya watano SHULE fulani ya serikali na mkoa fulani hivi......!

WANASEMA ETI ZAMA ZIMEBADILIKA.....
Je!, SHERAIA na kanuni za utumishi kwa waalimu pamoja STANDING ORDER zinaseamje?

Msaada tafadhali.....
Kiukweli hayo ni makosa makubwa kisheria na hata maadili ya utumishi wa umma hayaruhusu na hata standing order imeeleza. Ukimgegeda mwanafunzi ni kifungo 30years n.k lkn wanaweza kutetewa na CWT.
 
Lakini kula wanafunzi ni kosa kubwa.maadili ya ualimu hayaruhusu (teaching ethics).
 
Hata huku kwenye kilimo ikibainika umekula mbegu unasimamishwa kilimo(hulimi make huna mbegu) kwa hiyo mkuu ethics za kazi zipo pote ni muhimu ziheshimiwe.
 
Back
Top Bottom