Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Chakula cha akili (Mental food) Lesson 1. Karibu kwenye darasa ambalo mwalimu ni UBONGO (brain) na mwanafunzi ni mimi na wewe, darasa hili litakuwa na somo KUU moja (One main subject of study)...
27 Reactions
249 Replies
42K Views
Wanafunzi wamehitimu mwezi wa kumi mwaka jana hadi sasa matokeo bado hayajatoka. Tatizo ni nini? Mtayatoa lini hayo matokeo? Kwa nini mnachelewesha matokeo kiasi hicho hadi wanafunzi wanakataa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wadau wa JF, Leo nimefanikiwa kununua scientific calculator "original" kwa vigezo mlivyonipa humu, Nimeinunua "Mnazi mmoja" kwa duka la muhindi na akasema kama italeta shida niirudishe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada. Hii Mudio Islamic Primary School ni shule ya bweni ama kutwa? Pia naombeni mawasiliano ya simu ya shule hii. Asanteni sana!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
PUBLIC NOTICE FOR MARCH/APRIL, 2018 ADMISSION CYCLE FOR ACADEMIC YEAR 2018/2019 This is to kindly inform that, the Ministry of Education, Science and Technology via its letter with Ref. No...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari, Kwa anayehitaji mitihani ya advanced mathematics na advanced physics kindly DM me mana ipo tuu hapa home hamna mtumiaji....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama Mwananchi wa kawaida lazima nipige kelele kwa nguvu kabisa umma usikie, kile chuo kinaendeshwa kiujanja ujanja hakuna utaratitibu unaoeleweka. Wanafunzi wanateseka, uongozi unapishana...
1 Reactions
78 Replies
12K Views
Wakuu Kwa wale wazoefu naomba ufafanuzi wa nani anahusika kujaza kozwek za research proposal. Na wanatumia vigezo gani na vip alama za final na coursework inawezekana ukatofautiana? Au inakua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila shaka wanasomea masomo ya sayansi na mwaka huu bila shaka wanahitimu, nasikia mwezi huu wa pili wana mtihani wa kitaifa. Hivi nao wakimaliza watasubiri ajira kama wengine? Au wao...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Fursa kwa wanafunzi mnaopenda kuuza sura kwenye YouTube, kama mnavideo zenu tumeni, Read their description
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Napenda kujua aina za Casio calculator wanazoruhusu kwenye paper na kama zipo aina nyng wanazoziruhusu, je IPI ni version nzuri zaidi???
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi, Kwa anaemfahamu mmiliki wa shule ya Musabe iliyoko jijini Mwanza tafadhari asaidie kufikisha ujumbe huu. Ni kweli shule imejengwa kwa standard ya kisasa na mmiliki nampongeza kwa hilo...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari..!!. imani yangu inanipa ya kuwa JF kuna wasomi wengi wa Elim za juu. Naomba tusaidiane katika hili mana wengine huwa tunapenda kujifunza ambavyo hakutuvisoma.. Martin Luther King Jr &...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
habari wakuu, naomba mwenye kujua chochote kuhusu applicaton na market ya hiyo program kwa hapa Tanzania utakapoisoma kutoka nje ya nchi! inakupa uwanja gani wa kujiajiri au kuajiriwa. shukran
1 Reactions
15 Replies
3K Views
nina 4 ya 29 na D sita na F ya math je lipi la msingi kwa sasa nilichukulie hatua naombeni msaada wenu tafadhali kama niku receit au kuna cha maana zaidi ya ku reciet
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Wadau, mwenye taarifa zozote za admission za masters UDSM znatoka lini naomba atusaidie, Mwanzo wakati tunaapply waliweka tangazo kuwa watatoa majibu July mwishoni lakin mpaka sasa bado...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Halla to All !. Straight kwenye mada. Leo nimemkumbuka sana jamaa yangu mmoja nilisoma nae Primary. Jamaa tulikuwa tunakaa kitaa kimoja. Tukiwa skuli, usingeweza kunionea kizembe alafu yeye...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi.. Rejea kichwa cha habar hapo juu... kwasasa na miezi tisa katika utumishi wa umma, kwa nafasi ya ukufunzi wa somo la kompyuta katika chuo fulani cha ufundi chini ya wizara ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wanajamvi habari zenu nyote. Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa mwenye hivi vitabu kwa soft copy itapendeza sana kama ntavipata. 1. Mushi, E.G. (2014). Administrative Law in Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
am very disappointed! viongozi wetu mpo wapi!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom