Mlio soma Loleza,Meta, Sangu na lyunga

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
 
Mtc nawakumbuka sana wale mabitozi, haswa disko likipigwa chuoni kwao
 
Msalato usitusahu wavulana wa Mazengo UMISETA NA EASTER conference wk nzima full kusali mpaka usiku
 
Usisahau visa vya Box 2 na Tamsala Songea,enzi za bam bam Chaka Demus ikipigwa ili kuwa alert enzi hizo za 90's
 
Hii siyo njia nzuri ya kutambulisha jinsia yako.
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
 
Nkasi gwangu, umenoa, jaribu tena. Hii siyo sura ya Mbeya sec, ukishindwa nipe mji.
Mwana wa Nsafwa, umesoma Mbeya sekondari, kwenu Soko Matola Moravian, i miss you katoto
 
Mbona sisi wa Kafule, Inyala, Choimala, Ivumwe, Itende, Lutengano, Manow, Mbeya Day, Kipata na kwingine mnatutenga?
 
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.

Iyunga tulienda kusoma na siyo kutongoza... mashindano ilikuwa ni kupata one au two na siyo girl friends
 
Hehhehe kuvaa blue na njano kwa sanaaa
halafu wa kaka wa mzumbe mhh walikuwa wanatutembelea kwa saaanaaa

Totos za Kiley tulizishikashika sana kwenye madisko miaka ile! Nakumbuka walituchunia siku moja ikabidi tu import wa Msalato!! Kipindi sana!!
 
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.

Wachimba migodi?
 
Back
Top Bottom