Inakuwaje wadau wenu wanapohitaji huduma mbalimbali mnazotoa ikiwa ni pamoja na kupata Statement of Result, uhakiki wa vyeti, uthibitisho wa uhakiki na taarifa, mblimbali zinazohusiana na huduma zenu inachukua muda mrefu sana kupata majibu, haiwezekani mtu ameomba moja kati ya huduma nilizotaja hapo juu inachukua hadi mwaka mmoja bila kupata majibu, kwa kweli NECTA imekuwa ni ubabaishaji mtupu