Inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualimu?

KABALEGA

Senior Member
Jul 18, 2017
164
102
Habari! Nauliza tuu jamani je, inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualim? Mfano utendaji wa kijiji, kata au hata ustawi wa jamii? Na vipi anaweza kuomba ajira kama hizo na akaajiriwa? BARUDIA TENA KUULIZA SI UJINGA, Anae elewa anijuze hili swala.
 
Ndiyo tunaweza.

Mimi binafsi nimewahi ku apply kuwa Ward Executive Officer mahali fulani
 
Juzi nimesikia ndalichako anasema mtumishi hauruhusiwi kuwa na ajira mbili kwa wakati mmoja, kama unataka acha ualimu nenda kwenye utendaji unaruhusiwa
 
Habari! Nauliza tuu jamani je, inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualim? Mfano utendaji wa kijiji, kata au hata ustawi wa jamii? Na vipi anaweza kuomba ajira kama hizo na akaajiriwa? BARUDIA TENA KUULIZA SI UJINGA, Anae elewa anijuze hili swala.
Somea kitu kingine, kuna jamaa alimaliza bachelor ya statistics akamaliza akakosa ajira, akapata mchongo benki akaenda kusoma diploma ya finance. .kapiga kaazi miaka kadhaa, wakaja wazungu wanamchongo flani wa mambo ya investment. ....sasa hivi ninavyokwambia yuko makelele Uganda anasoma bachelor of art in investment. ...kusoma ya taka moyo
 
Duuuuu kwa iyo akipata mchongo wa jkt anaenda jeshi.....kweli maisha hayana formular
 
Back
Top Bottom