ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
salaam kwenu!
kozi tajwa hapo juu inafundishwa kwa mda gani?
Ada yake ni sh ngapi?
Asanteni
kozi tajwa hapo juu inafundishwa kwa mda gani?
Ada yake ni sh ngapi?
Asanteni
sasa hiyo inakuwa level gani?Week Sita (6) 30000/=