Je naweza apply tena NACTE?

Je naweza apply tena NACTE?

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua?
 
Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua?
Hakuna sababu kwa nini usichaguliwe. Lakini ni vizuri kuwafahamisha NACTE yakuwa nafasi uliyochaguliwa mwaka jana huku itumia kwa sababu tajwa ili ikifika stage ya kuhakiki majina system isije ikasema uko chuoni tayari ukawekwa kando.
 
Back
Top Bottom