MSAADA:. Naomba nisaidieni wakuu.

MSAADA:. Naomba nisaidieni wakuu.

mussa10

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
15
Reaction score
3
Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA
 
Mficha uchi hazai=kama utaendelea kukumbatia matatizo yako we mwenyew bila kuwashilikisha wadau wengine kwa ajil ya msaada basi ,kamwe hutaweza kufanikiwa kutatua
 
Back
Top Bottom