Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

habarini ndugu zangu mwenye vitabu hivi na vingine vya chands ninashida navyo ndugu zangu. Pdf files ndugu zangu mnisaidie Asanteni nashukuru.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hamjambo waungwana ... Kila siku kilio ni kile kile kuhusu elimu kufanyiwa mabadiliko kisera. Kwa maoni yangu ni kwamba hayo mabadiliko tayari yalishafanyika ila wananchi ndo hawajajua. a)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda chuo. Sema wazazi wangu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi ya banking and finance sio nzuri katika kuomba transfer wakanichagulia kozi nyingine...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Lengo la kukutana hapa ni kujadili changamoto za program hii,fursa za ajira na namna ya kuweza kusaidiana ,your welcome
3 Reactions
8 Replies
4K Views
pliz naomba msaada wanu wana jamii forum! nitajie shule na eneo ambalo mtu akiwa anafundisha hiyo shule anaweza akawa anaishi sehemu gani au mtaani gani!ili kupata huduma za kijamiii,
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ya wakati huu. Kuna huu utaratibu wa DIT wa kuretake somo kwa wale watu wa diploma.Kuretake somo kunatokea endapo utashindwa kufikisha coursework/course assessment(CA) ya somo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
To all people who want to join with high education for undergraduate and postgraduate degrees in Tanzania and in other African countries. I am hereby bringing to you the lists of top universities...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Hello guys, HIVI MME-NOTICE HII? Kwa miaka ya zamani ilikuwa ni jambo lililozoeleka kuwa boys ndo hushika nafasi ya kwanza kitaaluma, aidha ki-darasa, kimkoa, au kitaifa linapokuja swala la...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo hii waziri wa elimu anatarajiwa kutoa matokeo ya darasa la saba, watakaopata data waturushie
0 Reactions
16 Replies
196K Views
Walimu wa special needs njooni tubadilishane mawazo kuhusu career yetu Je ajira za special needs zinapatikana ? Ni changamoto gani za career hii
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema uamuzi wa Serikali kuwahamisha baadhi ya Walimu wa shule za Sekondari wanaofundisha masomo ya sanaa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu, Kabla ya yote ningependa kutoa rai kwamba uzi huu ni maalum kwaajili ya kujenga hoja na kujadili kuhusu tofauti katika performance ya shule hizi na si kuleta hoja za...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Salam wapendwa katika Naomba kujuzwa kutoka kwenu Nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana matokeo yakawa kama ifatavyo Phys -C Chemistry-C Biology-C Geography-C Civics-D Literature-D B/math-F...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I say this because intelligence and education are often used interchangeably. Today, many believe education is an accurate result and reflection of ones IQ. However, I strongly believe two things...
1 Reactions
7 Replies
951 Views
UHAMISHO WA WATUMISHI MSM Februari 2018 05-02-2018. Tangazo Umma. Tangazo kwa Walimu wote waliomba kuhamia Mkoa wa Dar es Salaam Orodha ya Majina ya Uhamisho wa Watumishi wa MSM Januari 2018...
0 Reactions
25 Replies
38K Views
Habari, tumeanza program mpya ya Nursery Teaching course, sifa muhimu ni mwambaji awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu kwa D tatu ikiwemo English language. "learning for life" Call us today...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Habari zenu jf! Mimi ni mhitimu wa chuo nimesoma business administration je ni sehem gani nzuri naweza fanya field kwa mkoa wa tabora?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Swali la msingi nyie mabingwa wa hizo namba mnzitumiaji katika maisha ya kawaida...?
1 Reactions
82 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu.. Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,kwa ufupi Mimi in kijana niliyefanikiwa kuonja ladha ya elimu ya chuo.Nimesoma chuo Fulani maarufu hapa nchini course ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama nilivyoeleza apo juu.... mimi ni mmoja kati ya tuliochaguliwa second round ya multiple selection na kucomfirm IFM lakini mpaka leo sijapata admission namba na Leo nimeona new news...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom