TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

Hii awamu ya pili sijui wamechemka maana hapa shuleni nilipo kuna mwl alihama mwaka jana 2017 mwezi wa 9 cha kushangaza awamu hii ya pili jina lake limetoka tena.Naskia wapo wengi tu wanamna hiyo.Tamisemi hovyo sana full kujichanganya.
 
Jamani kuna update zzote za uhamisho wamu ya tatu?coz nlitegemea kuona tokea jana wakitangaza.
 
Back
Top Bottom