Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

Subaru_wrx

Member
Mar 14, 2018
12
2
Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda chuo. Sema wazazi wangu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi ya banking and finance sio nzuri katika kuomba transfer wakanichagulia kozi nyingine but ilikuwa ya science mimi nimemaliza commercial arts.

So nikaanza diploma Latina kumalizia mwaka wa mwisho nikapata training on Agriculture Indonesia ya 6 month so sikumaliza diploma yangu sasa nikarudi Tanzania nilivyo kuwa kule nikaweza kupata scholarship wakaniambia watanipa next ambayo ndo mwaka huu 2018 .

Na nimeshaanza masomo yangu hapa Tanzania ya bachelor 3 yrs so naomba ushauri wenu nichukue hiyo scholarship ya Indonesia ya bachelor 4yrs au ni baki tu Tanzania maana nimaliza nao mwaka huu ndo wana graduated.

Kama mdogo wenu kaka zangu na dada zangu naombe ushauri wenu?
 
Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda Chuo .sema wazazingu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi banking and finance sio nzuri katika kuomb transfer wakanichagulia kozi nyengine but ilikuwa ya science Mimi nimemaliza commercial arts. So nikanza diploma Latina kumalizia mwaka wa mwisho nikipata training on Agriculture Indonesia ya 6 month so sikumaliza diploma.yangu sasa nikarudi Tanzania nilivyo kuwa kule nikaweza pata scholarship wakaniambia watanipa next ambayo ndo mwaka huu 2018 . nanimesha anza masomo yangu hapa Tanzania ya bachelor 3 yrs so naomba ushauri wenu nichukue hiyo scholarship ya Indonesia ya bachelor 4yrs au ni baki tu Tanzania maana nimaliza nao mwaka huu ndo.wana graduated.

Kama Mdogo wenu kaka zangu na Dada zangu naombe ushauri wenu?
Bandiko lako HALIELEWEKI
binafsi nimeshindwa kulielewa!
Hebu dadavua mkuu!
Upo hapa Tz unasoma degree ambayo unaenda kumaliza mwaka wa 3? Na kama nidyo hiyo degree ya nni???

Also unaenda Indonesia kusoma degree ya miaka 4
Hiyo degree waenda soma ya nn???

Then ulisema ulisoma diploma ulisoma ya aina gani????(am not sure kama nilielew vyem hapo)

Mwisho kabisa nikulize maswali hayaa na unijbu kwa UWAZI
1/Una umri wa miaka mingapi?
2/jinsia gan me/ke?
3/malengo yako ni yapi(future&target yako)
 
Am 24 yrs saivi. Gender - Male
Nasoma bachelor in commerce in finance Niko first year
Course nayo enda soma Indonesia ni bachelor in Agribusiness.

Nilivyo enda Indonesia last 6 month nikaona a lot of opportunities on field ya agriculture.

And wish to work on big NG0's because I had an experience in the six month in Indonesia and I was good at it
 
Tutakushauri sana ila swali litabaki, wewe unapenda nini toka moyoni!!

Kwanini utake kusoma agribus nje wakati sua na udsm ipo? Je umepata scholarship?
 
Yes nimepata scholarship

Sua nili apply sikupata ndo nimechaguliwa hiyo bachelor In commerce in finance... Udsm

Moyoni I nataka hiyo scholarship Indonesia kwasababu nilikuwa huko. For 6 month na I enjoyed using it ..

Sasa usauri wa wazazi ilinicost mmno ningekuwa tayari namaliza nawezangu sa saivi toka nilipo maliza high school ..

So kwa wengine wenye experience. Need advice in that
 
Kama nimekuelewa vizuri ndugu yangu ni kwamba ndio kwanza upo mwaka wa kwanza hapo UD na course unayo ichukua ni ya miaka mitatu na umepata scholarship ya kwenda nje miaka 4 tena ktk nchi ambayo ulishawahi kwenda na ukaishi for 6 months.

Ushauri wangu nikwamba andika barua ya kuhairisha masomo hapo UD then nenda nje kapige 4 years.

Why nimekushauri hivyo ni kwasababu hata utakapo maliza hiyo shule yako nje ya nchi ukirudi hapa nyumbani utakua umeongeza exposure.

Lapili nikwamba hata utakapo kujakuomba ajira utakua na chance kubwa kuajiriwa kuliko labda hata hao wenzako wanaomaliza mwaka huu, maana unaweza ukawakuta wapo wapo tuu. You know why unaweza kuajiriwa kuliko hao wenzako nikwasababu tayari ulishakua na hiyo experience ya kufanya kazi kwenye hiyo agricultural sector kama ulivyo eleza kwenye maelezo yako kwamba you worked for six months. Nakubwa zaidi umeenda kusomea the same related issues.

Halafu pia unawezakuta unaenda kusoma ktk university yenye higher status duniani kuliko hiyo UD ambayo daily kuna kiki za kijingajinga mara "Nondo" kajiteka mara paa "Msumari" umetoeka haupo chuoni. Then munaanza kudiscuss mambo ya kijingajinga badala ya kusoma.

Kubwa zaidi ndugu yangu kwa vile wewe Dume so huna skirt ya kuwavulia baadhi ya hao jamaa hapo UD ukute unamaliza na G.P.A yaajabu. Yaani haifai hata kwa mboga.
Kwa afya ya mafanikio yako ya baadae nenda mbele kwa mbele.
 
Dogo kwa nini uumize kichwa hapo Ud na elim ngumu.
Nenda nje urudi na bachelor yakl imeng'aa. Utapata kazi fresh tuu
 
Asante kwa ushauri wako mzuri
 
Kama bado utakuwepo kuanzia tarehe 26 mwezi huu, (mwanzo Wa semista ya pili) naomba tutafutane. We need to talk. Haya Mimi nipo kwenye hicho chuo ulichokitaja na lengo la kukwambia tutafutane ni kwa sababu nimeona kwamba tunahitaji kuongea kwa kirefu huku ukiendelea kupokea ushauri na michango mbalimbali ya wadau hapa jukwaani.
 
Yes nimepata scholarship

Sua nili apply sikupata ndo nimechaguliwa hiyo bachelor In commerce in finance... Udsm

Moyoni I nataka hiyo scholarship Indonesia kwasababu nilikuwa huko. For 6 month na I enjoyed using it ..

Sasa usauri wa wazazi ilinicost mmno ningekuwa tayari namaliza nawezangu sa saivi toka nilipo maliza high school ..

So kwa wengine wenye experience. Need advice in that
Nenda Indonesia, agribusiness ni field mpya hapa unaweza ukapata opportunities nyingi! Nenda huko, ukiwa huko make contacts za ajira inavyowezekana.
 
Bottomline, nenda nje! Acha nchi chuo kinajisifia kuwafelisha wanafunzi wote, lecturer, professor anajisifu. Nenda NJE! Subaru_wrx hivi kwa nini unajiita subaru:(:(:(
 
Indonesia Elimu yake ni bora kuliko ya UD ila unaenda kusoma kwa lugha gani na chuo gani? Mimi pia Nina malengo ya kwenda Indonesia mwaka huu kwaajili ya Masters lakini bado nipo kwenye kuviangalia hivyo vigezo pamoja na kufanya Application.
Maana Bongo yetu hii unaweza kwenda ukarudi na Bachelor yako ikawa haitambuliki na TCU. So fanya research ya hayo Kwanza ndio uamue kuairisha UD au lah!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom