Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tafadhali nimeulizwa swali na mama mkwe wangu kuhusiana na GPA?? Kuna shemeji yangu amesomea course ya BAED na amepata GPA ya 2.56 na anataka kusomea course ya "Masters " kwny Administration...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY AUSTRIAN DEVELOPMENT COOPERATION ITH SCHOLARSHPS FOR TANZANIAN STUDENTS 1.0 INTRODUCTION The Austrian Development Cooperation offers two types of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wikiend wakuu wale wa chuo cha IJA lushoto tukutane apa tujadili mambo flan flan
0 Reactions
12 Replies
6K Views
UKIFUATILIA mazungumzo ya wa-Tanzania wengi kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kuona namna watu wanavyojinasibu kujua. Mijadala mingi imejaa ‘ujuaji’ unaofanya watu wajigambe, wadhihaki wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini jf. Nina mdogo wangu amemaliza certificate royal college mwaka jana ila mpaka sasa hajapata cheti. Nimejaribu kufatilia chuoni mara kadhaa wana sema vyeti bado havija sainiwa nimeuliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina mtoto wa sister yangu. Ana div 1.12, shule aliyosoma O level haitaki. Shule nyingi nazompeleka naambiwa kachelewa. Walishaanza kusoma na mambo kama hayo. Ni mtoto wa kiume. Nakmba kujua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SWALI LANGU LA LEO. ni ipi opportunity ya mtu wa IT au computer science je anaweza kufanya kazi ya IT peke yake au sector tofauti kutokana na elimu aliyokuwa nayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tar 22may 2017 katibu Mkuu wa wizara ya Maji yupo ktk chuo pekee EA knachotoa course zote zinazohusu Maji,Najua atakua na mengi ya kuzungumza na wanachuo pia na wafanyakazi wa Maji ashafka kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Labda niende straight: Katika vyuo jipu nchini kimojawapo ni SUA. Kinatoa kozi ambazo kiuhalisia kwenye labor market ufanisi wake ni mdogo sana, Mitaala na Programmes za SUA kwa...
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Habari za mida jamani,naomba msaada wa orodha ya kozi za masuala ya uhasibu na fedha kwa ngazi ya degree,ukiweka na vyuo zinakopatikana itapendeza zaidi,ahsante wakuu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Apply to be part of the AMEE Conference and the Student Task Force 2018
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Naomba kujuzwa wakuu, ni chuo gani kinachotoa kozi ya graphics design na quality zao ikiwa na being zao kama utakua unafahamu kwa hapa Tanzania?
0 Reactions
29 Replies
25K Views
1. Elimu Bora ya Uraia. Hapa Somo lote la Uraia/Civics lifumuliwe na watoto waanze kujifunza haki zao za kikatiba tangu ngazi za chini. 2. Katiba Ya Wananchi. Hii ni katiba itakayojumuisha zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za humu wanajamii,ninakusudia kuchapisha kitabu kidogo cha kurasa kuanzia 20-25.Sina uzoefu na masuala ya uchapaji hivyo ninaomba ushauri kuhusu gharama,na kampuni za uchapaji kutoka kwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni msaada kwa hili kwa wenye uelewa nalo,Mimi ninasoma accounting sijui chochote kuhusu computer program na coding. Nikitaka kujifunza hivo vitu nianzie wapi wadau.
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Na. Nyacki Jr [emoji871] Kabla mwandishi hajaanza kuandika Chapters ktk utambulisho chini kabisa ya aya kuu aliandika kitu alicho kiita "ONE SIZE DOESN'T FIT ALL" kwa akili ya kawaida kabisa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoieleza, nahitaji msaada wa jinsi ya kupanga matokeo ya kidato cha nne hususani kipengere cha kuzipanga "DIVISIONS" Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
7K Views
habari wana JF mimi ni mwanachuo, mzumbe university mwaka wa kwanza taking BAF PS nilifanikiwa kupata mkopo, naomben ushauri hivi boom nikisave naweza nikafanyia biashara pasipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA...
0 Reactions
6 Replies
56K Views
Back
Top Bottom