Naomba msaada wa kunitajia shule zilizopo manispaa ya Morogoro zilizo mjini kabsa!

Victoriously

Member
Jan 14, 2018
60
49
pliz naomba msaada wanu wana jamii forum! nitajie shule na eneo ambalo mtu akiwa anafundisha hiyo shule anaweza akawa anaishi sehemu gani au mtaani gani!ili kupata huduma za kijamiii,
 
[zipo nyingi tu,kama morogoro secondary ambayo ipo mjini kati,eneo la forest ambapo pia kuna makazi ya watu,kuna pia kigurunyembe secondary ambayo ipo mjini kati nayo ,kuna nyingine kama uluguru,kingo ,kayenzi,mji mpya secondaries zote hizi zipo kata ya kihonda,ambayo ni dakika 15 tu kutoka mjini kati kabis....,kwa kumalizia mkuu mbona haujasema ni shule za secondary au ni primary ambazo hunaitaji in formations zake.
 
daaaaah sory shule za secondary
but thanx kwa ufafanuzi wako
 
izo zote nilizokutajia ni shule za secondary na zote zipo morogoro mjini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom