donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Wakuu,
Kabla ya yote ningependa kutoa rai kwamba uzi huu ni maalum kwaajili ya kujenga hoja na kujadili kuhusu tofauti katika performance ya shule hizi na si kuleta hoja za UDINI. Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini kwamba Mungu ni mmoja na dini ni mfumo tu wa maisha.
Kwa Muda mrefu sasa nimekua nikijaribu kufanya comparison ya performance kati ya seminary za kiislam na zile za kikristu ambapo nimegundua kuna tofauti kubwa sana, ukiangalia kuanzia ngazi za olevo mpaka a levo. Swali ni, je nini kinasababisha tofauti hii? Na nini pia kifanyike kupunguza gape hili lakiperformance? Nawasilisha.