Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kijana, Usipende kufeli kizembe zembe, kijinga jinga, kibwege bwege, kifala fala fulani hivi. Majira haya ya kiangazi utapeleka wapi div 3, 4 ama 0?. Ukianza maisha ya kujitegemea ndio utajua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf. Leo nimeamua kulileta hili suala mbele yenu. Ni kuhusu matokeo ya rufaa kwa ujumla bila kujali ni ya mwaka gani, Matokeo ya rufaa karibu ya miaka yote sijawahi ona mtu aliye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jumamosi wanajamii forum Nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye softcopy ya kitabu CONTEMPORARY ENGLISH GRAMMAR kimeandikwa na JAYANTHI DAKSHINA MURTHY au mwenye kufahamu site nzuri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale applicants tuliowahi kuwanyaka TCU tumekuwa na bahati hakuna presha tena.Sasa nimetupwa pale UDSM nikasome Mining.Wale wenzangu 35 wa Mining Eng na wale wa vyuo vingine program ya Mining...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wote ambao tuliobahatika kusomea hii special diploma katika vyuo vya serikali nchini mwaka 2014 hadi 2017 tukutane hapa tujadiliane kidogo
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu,nina mdogo wangu anahitimu form six mwaka huu kwa combination ya CBG,tunaimani kuwa atafaulu,ni kozi gani anazoweza kusoma kwa ngazi ya chuo kwa masomo yake hayo? Ahsanteni
1 Reactions
23 Replies
38K Views
Kama kunae alieomba MOFCOM scholarship katika vile vyuo 26 vilvyoainishwa kwa mwaka wa masomo 2016/17 tupeane taarifa kwani kwa maelezo nikwamba matokeo yatatolewa mwezi huu wa August tuambieana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini, Mwaka 2014 nilichaguliwa kujiunga na chuo fulani kwa ngazi ya Bachelor ya Science in Chemistry! na nikapewa mkopo nilifika chuo husika na kufanya admission, na boom la mwanzo nikapewa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Ingawa mikopo ya elimu inatozwa riba ndogo lakini marejesho yake ni 15% ya mshahara kwa mwezi pamoja na kwamba madeni haya ni pesa ambazo zilikopwa bila kuwekezwa kwenye biashara au miradi yenye...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Mimi nilihitimu Kidato cha NNE 2013 nikapta history B..Kiswahili C English D,,Civics D,,Geography D.Math F Bio F. Katika kozi ya Sheria,,Saikolojia na Diplomasia IPI ambayo ni...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Wanajukwaa bila ya kumung'unya maneno, tafiti yangu inaakisi kwamba wabongo waliojifunza French hapa nilipo wapo vzr sana ukilinganisha na mataifa mingine. Ila chakushangaza hawa jamaa ambao...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
t paper za uchumi 2016 na 2017 anisaidie
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna nafasi kwa waliokata tamaaa baada ya kupata matokeo tofauti na malengo yao. Ni nafasi ya ufundishaji Olevel kwa aliyesoma PCM/EGM/PGM. Usikae bure kijana.ni PM nikuunganishe na mwitaji.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Heri ya Pasaka, pia poleni na majukumu na mihangaiko ya hapa na pale. Nina jamaa yangu anasoma SUA jina, Mahaja Kusekwa nimesoma nae A Level, alikosa mkopo ila muhula wa kwanza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakti huu; Kuna mtu yuko mbioni kurudi chuoni akiwa na umri wa zaidi ya miaka 30 na mume pamoja na watoto.Anaenda kuanza na diploma na angependa kufahamu kama kuna watu ambao wako...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu.Hivi karibuni nimegundua nina uwezo(sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali,zikiwemo za elimu,uongozi bora,biashara na hata michezo. Hivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maelekezo kwa mwenye uelewa..suala la kujaza upya selform kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne kupitia mtandao likoje?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
~je,wadau napenda kuuliza,hivi ni ukweli kwamba huu msemo ambao umetawala kwamba,kuna urafiki ambao sio wa lazima vyuoni kwamba unapata marafiki,lakini baada ya mda wanayeyuka hivi ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Njoo kahama msalala nije iringa,njombe,mufindi na mbeya idara sec
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (dmi )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom