Nina shida na vitabu vya Chands

Nina shida na vitabu vya Chands

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
2,330
Reaction score
3,726
habarini ndugu zangu mwenye vitabu hivi na vingine vya chands ninashida navyo ndugu zangu.
Pdf files ndugu zangu mnisaidie
Asanteni nashukuru.
9788121904148.jpg
9789352533107.jpg
 
Sio kwamba nakukashfu mkuu, laa!! Bali hata mm nimekuwa nikitafuta hivyo vitabu inform of pdt sijapata nikaamua ninunue tu, no oyher way!!!!
 
Unazoma Bsc.physics nini??,..ila hivi vitabu ni ngumu sana kupata pdf,nilitafuta chand 1 na 2 vile vya advance lakini sikuvipata
 
Vp mkuu, ulisoma bsc in physics nn ? Kutakuwa na intake nyingi mbele yako, hawawezi kukuchukua wewe wakati kuna watu wapo mda mwingi kuliko wewe.Yan nnavypenda kuwa mjeshi, bas tuu lkn kila nikifuatilia njia za kufika huko, mmmmh ni pasua kichwa.Isitoshe sina mkubwa wa huko Wa kunishika mkono, yan n kubakia na msononeko tuu Hamna namna. Hata hiyo 2020, wakiajiri watu, wengi wao wanakuwa ni ndugu Wa karibu Wa maafisa wakubwa Wa jeshini, EEEH MUNGU TUSAIDIE JAMAN.Nchi yetu mambo hayako vizuri kabisa.
Rabda uwe na ngekewa sana LA sivyo ukaenda huko JKT huku hauna mkubwa Wa kukusaidia, utakuwa unapoteza mda bure maana unaweza kukosa kupewa majukumu ktk jeshi na baada ya mkataba wako kuisha, unarudi tena kitaa.Htr sana.
Unazoma Bsc.physics nini??,..ila hivi vitabu ni ngumu sana kupata pdf,nilitafuta chand 1 na 2 vile vya advance lakini sikuvipata
 
Back
Top Bottom