Top Universities in Tanzania and in Africa

Top Universities in Tanzania and in Africa

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
559
Reaction score
818
To all people who want to join with high education for undergraduate and postgraduate degrees in Tanzania and in other African countries. I am hereby bringing to you the lists of top universities in Tanzania and in Africa. This will enable you to make right decision when selecting the university you want to join for high education based on quality according to international rankings.
Just check in two lists incorporated below,

2018 Tanzanian University Ranking
Top Universities in Tanzania | 2018 Tanzanian University Ranking
Top 200 Universities in Africa
2018 African University Ranking
Top 200 Universities in Africa | 2018 African University Ranking
Have a good day.
 
Naona Dodoma inazidi kuchanja mbuga,, UDSM kaeni chonjo.
Itachukua muda kidogo kwa Udom kuipita Udsm. Inaweza ikawa hata miaka 7. Ninachokubaliana na wewe kuwa Udom inakimbia sana kwa ubora. Ninakiona kimeakiacha Sokoine.
 
Itachukua muda kidogo kwa Udom kuipita Udsm. Inaweka ikawa hata miaka 7. Ninachokubaliana na wewe kuwa Udom inakimbia sana kwa ubora. Ninaikiona kimeakiacha Sokoine.
Hizi rank kila mwaka zinatoka kuna mwaka Mzumbe ilikuwa ya pili ,muhas n.k hatimaye zikarudi nafasi zao za siku zote
 
Hizi rank kila mwaka zinatoka kuna mwaka Mzumbe ilikuwa ya pili ,muhas n.k hatimaye zikarudi nafasi zao za siku zote
Mambo yanabadilika mkuu. Ni kweli lakini kwa tathmini yangu itakuwa kazi sana kwa Udom kutoka namba ya pili kama itakavyokuwa kazi kwa Udom kwenda namba moja. Hata hivyo niipongeza Sokoinne kwa kuendelea kufanya vizuri. Kushika namba tatu si kitu cha mchezo, nchi kubwa hii na ina vyuo vingi. Kwa mara nyingine naendelea kuipongeza UDSM kwa kuendelea kushikiria usukano.
 
Siwezi kusoma Udom hata nishikiwe risasi.

Brand kubwa dunian UDSM, Mzumbe. OVER
UDSM sawa ila mzume no. Kwa sasa chuo chenye chati hata kwenye records za kimataifa ni UDSM, kikifuatiwa na UDOM na kisha Sokoinne. Binafsi yangu siwezi kwenda kusoma Mzumbe. Wewe tembea tu na records za miaka ya 80.
 
Inategemea unazungumzia na taaluma zipi.
Mfano kwa Tanzania hakuna chuo bora cha masuala ya Utawala na Management kama Mzumbe University, tembelea HR na Administrators wengi utaona ni zao la Mzumbe.

Mfano kozi zao za utawala ukiangalia modules zao utaona wanafundisha vitu muhimu sana kama sheria etc.

Tanzania ndiyo chuo pekee chenye School of Public Administration & Management.
 
NA CHUO WANAJIITA MAAFISA USALAMA AU JIRANI WA IKULU WAO WAPO WAPI(IFM)
AFU KILE CHUO CHA CBE KIPO NAMBA NGAPIBIASHARA
NA TAASISI YA UHASIBU IKO WAPI(TIA)
KWELI MAISHA YAPO KASI SANA

Hiyo ni rank ya vyuo vikuu na sio vi-Institution na colleges mkuu.
 
Inategemea unazungumzia na taaluma zipi.
Mfano kwa Tanzania hakuna chuo bora cha masuala ya Utawala na Management kama Mzumbe University, tembelea HR na Administrators wengi utaona ni zao la Mzumbe.

Mfano kozi zao za utawala ukiangalia modules zao utaona wanafundisha vitu muhimu sana kama sheria etc.

Tanzania ndiyo chuo pekee chenye School of Public Administration & Management.
Ni kweli
 
Nelson Mandela African Institute of Science and Technology kimeanzishwa 2009 naona kinazidi kupanda kwa kasi. Ipo siku kitaingia top 3, its rightful place. Mtu yoyote aliyesoma hapo atanielewa.
 
Back
Top Bottom