Katibu Mkuu ndani ya chuo cha maji

Mnastar jr

Member
Dec 29, 2016
99
53
Leo tar 22may 2017 katibu Mkuu wa wizara ya Maji yupo ktk chuo pekee EA knachotoa course zote zinazohusu Maji,Najua atakua na mengi ya kuzungumza na wanachuo pia na wafanyakazi wa Maji ashafka kwa sasa anatembelea maabara mbalimbali workshop na kadhalika hvo update zote ntawapatia APA wakuu twende pamoja
 
Tuko pamoja mkuu,,ila ajitahidi kukiboresha hicho chuo manadhari yake
 
Weka kapicha Basi tuhakikishe isijekuwa hbr ya miaka kadhaa iliyopita
 
hapo pia inabidi wabadili entry qualifications kama ambavyo nursing, teaching imeupgrade sio kujiita wataalam wa maji afu mnaingia kwa D nne.
 
Nafasi za masomo ubungo maji 2018/2019 zimetoka tayari au bado.
Naomba kusaidiwa nifahamu au zatoka mwezi gani
 
Back
Top Bottom