Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Nina mtoto wa sister yangu. Ana div 1.12, shule aliyosoma O level haitaki.
Shule nyingi nazompeleka naambiwa kachelewa. Walishaanza kusoma na mambo kama hayo.
Ni mtoto wa kiume.
Nakmba kujua shule nzuri ya mchepuo wa PCB ambayo naweza kumpeleka kwa mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Dar au Moro.
Ahsante.