Naomba msaada wa kupanga matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne katika madaraja(divisions)

Mdugo

Member
Nov 17, 2017
55
37
Kama kichwa kinavyoieleza, nahitaji msaada wa jinsi ya kupanga matokeo ya kidato cha nne hususani kipengere cha kuzipanga "DIVISIONS"

Nawasilisha
 
"Kipengere"_Kipengele

ONE:7-17

TWO:17-21

THREE:22-25

FOUR:26-34

ZERO(0): 35

Au ulikuwa unataka msaada upi zaid mkuu
 
"Kipengere"_Kipengele

ONE:7-17

TWO:17-21

THREE:22-25

FOUR:26-34

ZERO(0): 35

Au ulikuwa unataka msaada upi zaid mkuu
Yaaap... Maana yangu ni hio hio... Yaani nimepanga na kutafuta "jumla", " wastani", "position", "grade" n.k shida ni kwenye points hizo ulizozitaja na division kama ulivozitaja

Mfano, nahitaji kutoa matokeo yaoneshe kila mwanafunzi amepata points ngapi katika masomo yake 7 kati ya Yale 9 na pia atakua amepata division ngapi ya point ngapi....

Nadhani at least nimeweka clear
 
ILI UPATE DIVISIONS FANYA YAFUATAYO:

POINTS:
A= 1
B=2
C= 3
D=4
F=5
ZIDISHA IDADI YA KILA DARAJA KADRI MWANAFUNZI ATAKAVYOKUWA AMEPATA KWA THAMANI YA DARAJA HUSIKA KAMA ZILIVYO HAPO JUU NA KUPATA JUMLA YAKE KWA MASOMO 7 TU ALIYOFANYA VIZURI ZAIDI.

BAADA YA KUPATA JUMLA ZINGATIA MADARAJA YA POINTS KAMA IFUATAVYO:

DIVISION I = 7-17
DIVISION II = 18- 21
DIVISION III= 22- 25
DIVISION IV = 26 - 33
DIVISION 0 = 34- 35

KWA MSAADA ZAIDI NITUMIE NAMBA YAKO TUONE NAMNA YA KUKUPATIA PROGRAM NILIYOTENGENEZA TAYARI AMBAYO UKIINGIZA ALAMA MFUMO UNACHAKATA MATOKEO MWANZO HADI MWISHO PAMOJA NA KUTENGENEZA TATHMINI KWA WEPESI BILA SHIDA.

GOOD LUCK.
 
Naomba nitajie grade za o level za sasa yan kuanzia A mpaka F
 
Asante sana ndugu... Nimekutumia namba PM
 
Kama kichwa kinavyoieleza, nahitaji msaada wa jinsi ya kupanga matokeo ya kidato cha nne hususani kipengere cha kuzipanga "DIVISIONS"

Nawasilisha

Tumia Ms Excell ni rahisi zaidi ukishazijua hizo point na Point grade
 
ILI UPATE DIVISIONS FANYA YAFUATAYO:

POINTS:
A= 1
B=2
C= 3
D=4
F=5
ZIDISHA IDADI YA KILA DARAJA KADRI MWANAFUNZI ATAKAVYOKUWA AMEPATA KWA THAMANI YA DARAJA HUSIKA KAMA ZILIVYO HAPO JUU NA KUPATA JUMLA YAKE KWA MASOMO 7 TU ALIYOFANYA VIZURI ZAIDI.

BAADA YA KUPATA JUMLA ZINGATIA MADARAJA YA POINTS KAMA IFUATAVYO:

DIVISION I = 7-17
DIVISION II = 18- 21
DIVISION III= 22- 25
DIVISION IV = 26 - 33
DIVISION 0 = 34- 35

KWA MSAADA ZAIDI NITUMIE NAMBA YAKO TUONE NAMNA YA KUKUPATIA PROGRAM NILIYOTENGENEZA TAYARI AMBAYO UKIINGIZA ALAMA MFUMO UNACHAKATA MATOKEO MWANZO HADI MWISHO PAMOJA NA KUTENGENEZA TATHMINI KWA WEPESI BILA SHIDA.

GOOD LUCK.
Sasa si ungeitaja hapa na wengine tunufaike?
 
tengeneza grade ya kila somo halaf tengeneza point ya kila somo kulingana na grade... mwisho jumlisha masomo 7 upate jumla baada ya hapo ndo unatafuta division kupitia hizo points za mwisho ulizojumlisha... rahisi sana mkuu..!
 
Back
Top Bottom