Msaada jamani kuhusu kujiendeleza!!

Msaada jamani kuhusu kujiendeleza!!

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
617
Reaction score
854
Tafadhali nimeulizwa swali na mama mkwe wangu kuhusiana na GPA??

Kuna shemeji yangu amesomea course ya BAED na amepata GPA ya 2.56 na anataka kusomea course ya "Masters " kwny Administration, Management in Education au Masters in Librarianship

Naomba mnisaidie kwa maswali hta niliyoulizwa;

1.Je ataweza kujiunga kusoma chuo kwa Masters kwa GPA hyo??

2.Je atafanikiwa kusoma Course hzo anazozitaka?

Nmeulizwa na mim sina uzoefu ktk hilo sasa nmeona niulize humu kwnye wataalamu wa mambo haya.
[emoji310] Tafadhali naomba kuwasilisha.!![emoji310]
 
Apige postgraduate diploma mwaka mmoja then aje aingie masters
Maana masters inahitajika uwe na minimum ya lower second class ambayo inaanzia GPA ya 2.7
 
Kwhyo inabidi akitaka kusoma masters ya management in education ndio aanze kusoma kwnz post graduate diploma ya education au?
 
BAED? yaani arts anapata 2.5? Tena masomo yao ni yale yale ya form 5 ma six...

Huyu hakua serious darasani!!
 
Back
Top Bottom